Afisa Kilimo kutoka Seedland akiwa katika kikao na wakulima wa AMCOS ya Wino, Mkoa wa Ruvuma, akiwapatia elimu na uelewa kuhusu bidhaa za Seedland, matumizi sahihi ya mbegu na kanuni bora za uzalishaji.
Tunazidi kusogeza maarifa, teknolojia na mbegu bora karibu na mkulima ili kuongeza tija na mavuno.
Leave a Comment