Mkurugenzi wa Huduma TARURA Atembelea Banda la Seedland

August 6, 2026 Seedland
Blog imageMkurugenzi wa Huduma TARURA Atembelea Banda la Seedland
Tumepata heshima ya kutembelewa na Mkurugenzi wa Huduma wa TARURA, Bi. Azimina Mbilinyi, katika banda letu la Seedland wakati wa Maonesho ya Nane Nane 2026.
Bi. Azimina Mbilinyi amefurahishwa na ubora wa mbegu zetu, ubunifu wa bidhaa pamoja na huduma tunazowapatia wakulima. Kutokana na kuvutiwa na ubora huo, ameweza kuchukua aina mbalimbali za mbegu za Seedland kwa ajili ya matumizi na majaribio.
Tunamshukuru kwa kututembelea na kuamini ubora wa mbegu zetu tunazoendelea kuzileta kwa wakulima wa Tanzania.
SEEDLAND – Panda Ubora, Vuna Zaidi!

Comments

No comments yet. Be the first to comment!

Leave a Comment

My Cart

Your cart is empty

 

 

Resolving Details