Karibu Siku ya 7 ya Maonesho ya Nane Nane 2026!

August 7, 2026 Seedland
Blog imageKaribu Siku ya 7 ya Maonesho ya Nane Nane 2026!
Tunaendelea kuwakaribisha wakulima, wadau wa kilimo na wageni mbalimbali kwenye banda la Seedland.
Leo ikiwa ni siku ya saba ya maonesho, timu yetu ipo tayari kabisa kuwapokea na kuwahudumia kwa kuwapatia taarifa sahihi kuhusu mbegu bora za mahindi, alizeti na mazao mengine yanayokusaidia kuongeza tija na mavuno.
Karibu ujionee ubora wa mbegu zetu na kupata ushauri kutoka kwa wataalamu wetu.
Seedland – Panda Ubora, Vuna Zaidi

Comments

No comments yet. Be the first to comment!

Leave a Comment

My Cart

Your cart is empty

 

 

Resolving Details