Mkurugenzi wa TOSCI Atembelea Banda la Seedland!
Tumepata heshima ya kumpokea Mkurugenzi wa TOSCI katika banda letu la Seedland kwenye Maonesho ya Nane Nane 2026.
Ametembelea pia vitalu vyetu vya maonesho, akishuhudia kwa vitendo ukuaji na ubora wa mbegu zetu. Ameonesha kufurahishwa na kazi kubwa inayofanywa na Seedland katika kuhakikisha wakulima wanapata mbegu bora kwa kilimo chenye tija.
Seedland – Panda Mbegu Bora, Vuna Zaidi!

Leave a Comment