KARIBU NANENANE 2026!

July 29, 2026 Seedland

Mkulima wa Tanzania... Je, uko tayari kwa msimu wa mavuno makubwa?Seedland Limited inakukaribisha kwenye Maonesho ya Kilimo ya Nanenane 2026 yatakayofanyika kuanzia tarehe 1 hadi 8 Agosti 2026Tembelea banda la Seedland na ujionee kwa macho ubora wa mbegu zetu kupitia vitalu vya maonesho vilivyostawi kwa kufuata kanuni bora za kilimo. Kutana na mbegu zetu bora za Mahindi T630 na T416, Alizeti Seedland 88 na Seedland 77, pamoja na mbegu bora za Maharage na Maragea.Pata ushauri wa kitaalamu kutoka kwa wataalamu wetu kuhusu uchaguzi wa mbegu, upandaji, utunzaji wa mazao na njia bora za kuongeza tija shambani.

Comments

No comments yet. Be the first to comment!

Leave a Comment

My Cart

Your cart is empty

 

 

Resolving Details